Wandugu sijui hili ni tatizo au ni hali ya kawaida. Nikipata sexual stimuli kwa mfano nikifanya romance bila ku do baada ya muda napata maumivu makali sana kwenye mapumbu ambayo yanaweza kuchukua muda wa siku nzima. Wakati mwingine maumivu hayo yana ambatana na tumbo kuuma na kuharisha sana.
Kuna siku ilibidi hadi nikimbizwe hospital. Siku hiyo nilifanya tendo la ndoa, lakini kwa kuwa nilikuwa nimekunywa kidogo plus condom sikuweza ku come haraka. Yule dada akasemaamechoka hivyo tulale kidogo hadi baadae. Baada ya kama lisaa hivi nilianza kuharisha sana, tumbo na mapumbu yanauma sana. Hali hiyo iliendelea kwa masaa kama 8 hivi ikaacha.
Je hii ni kawaida au ni tatizo. Na je kama ni tatizo tiba yake ni nini?