Tatizo la maumivu ya kende(Teste)

Joined
Apr 26, 2018
Posts
27
Reaction score
3
habari wana JF

Nina rafiki yangu hapa anatatizo hili la kujihisi anapata maumivu kwenye sehemu za Kende(testes) yapita mwezi mmoja ana Tatizo hili na pia sasaivi Amekuwa hana ashi sana ya mapenzi kama Awali..je Tatizo hili limetokana na nini nimeamua nilifikishe kwa wa Jf wenzangu???
 
habari wana JF

Nina rafiki yangu hapa anatatizo hili la kujihisi anapata maumivu kwenye sehemu za Kende(testes) yapita mwezi mmoja ana Tatizo hili na pia sasaivi Amekuwa hana ashi sana ya mapenzi kama Awali..pia amejaribu kufanya kutumia dawa ya Ngili hakuna Mabadiliko yoyote...Jamani kama mwenye Solution Tuweni mawazo!!!
 
habari wana JF

Nina rafiki yangu hapa anatatizo hili la kujihisi anapata maumivu kwenye sehemu za Kende(testes) yapita mwezi mmoja ana Tatizo hili na pia sasaivi Amekuwa hana ashi sana ya mapenzi kama Awali..je Tatizo hili limetokana na nini nimeamua nilifikishe kwa wa Jf wenzangu???
 
[emoji121]
AMINI NAKWAMBIA,

HUU USHENZI WA KUJIFANYA KUWA ETI KUNA RAFIKI YAKO ANA TATIZO HILO WAKATI NI WEWE MWENYEWE
ND'O UTAKUKOSESHA MSAADA!!!

KUWA MUWAZI USAIDIWE,

SASA WE' LETE UJANJA_UJANJA TU WHILE KENDE ZAKO ZINA_SURFER DAY AFTER A DAY.

[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Mwambie awahi hospital kuna mchizi wangu amefariki february kwa tatizo la maumivu ya kende ila alichukulia poa,alipozidiwa baada ya miezi minne hospital wakamwambia alichelewa mno
 
habari wana JF

Jamani mimi nina tatizo hapa la kujihisi napata maumivu kwenye sehemu za Kende(testes) yapita mwezi mmoja nina Tatizo hili na pia sasaivi nimekuwa hana ashiki sina sana ya mapenzi kama Awali..je Tatizo hili limetokana na nini nimeamua nilifikishe kwa wa Jf wenzangu???
 
acha imagination za sex
acha kuangalia picha za ngono

kama hufanyi hivyo vitu basi wahi hospital
 
Nenda hospital mkuu,
 
Uende hospital mkuu ukapate ufumbuzi wa tatizo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…