M Mkombozi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 844 Reaction score 476 Nov 4, 2013 #1 Wadau asalaam.Naomba anayefahamu vyakula vinavyoongeza idadi na ubora wa mbegu za kiume.Sio wingi wa shahawa,bali wingi wa mbegu za kiume.Tusaidiane jamani.
Wadau asalaam.Naomba anayefahamu vyakula vinavyoongeza idadi na ubora wa mbegu za kiume.Sio wingi wa shahawa,bali wingi wa mbegu za kiume.Tusaidiane jamani.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Nov 4, 2013 #2 Kwanza ni nani alikuambia una low sperm counts? Manake huyo huyo ndio angekupa ushauri unaoleweka!