Mbu ni tatizo sana nchini kwetu. Lakini ukitaka mbu wote waishe mpaka tuanze kuwatafuta, waambie wanaume kwamba *mchuzi wa mbu unaongeza nguvu za kiume.*[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]