jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Tatizo la mbwa kuishiwa nguvu miguuni na kubaki amelala tu linasababishwa na nini? Je matibabu yake ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungetupa historia kidgo ya toka kuanza kuumwa hivo pia umri wake ni upi?Tatizo la mbwa kuishiwa nguvu miguuni na kubaki amelala tu linasababishwa na nini? Je matibabu yake ni nini?
Sababu noTatizo la mbwa kuishiwa nguvu miguuni na kubaki amelala tu linasababishwa na nini? Je matibabu yake ni nini?
Duh... Isije ikawa katupiwa jini, mpeleke kwa MwamposaTatizo la mbwa kuishiwa nguvu miguuni na kubaki amelala tu linasababishwa na nini? Je matibabu yake ni nini?
Elezea ni mbwa aina gani mkuu wenye matatizo hayo zaidi GSD aina ya show line. Ambao ni wale mbwa aina ya German shepherd walio inama mgongo karibu na kiuno, na huwa na miguu mifupi ya nyuma. Hawa kimsingi husumbuliwa saana na ugongwa elbow na joint. Ambayo nadhani wataalam wanaita dysplasia:- (The working line German shepherd is more rugged and typically healthier and less prone to hip and elbow dysplasia. The show line is bred for appearance and more prone to hip and elbow problems due to their sloped backs and shorter hind legs.)Tatizo la mbwa kuishiwa nguvu miguuni na kubaki amelala tu linasababishwa na nini? Je matibabu yake ni nini?