Tatizo la meno

shemahenga

Senior Member
Joined
Jun 28, 2015
Posts
130
Reaction score
51
ndugu nimeng'oa meno mara nne licha ya kufanya dental clinin kila baada ya miezi mitatu lakini bado meno yananisumbua. Yanauma. Sitaki kun'goa tena naombeni mniambie ni dawa gani inatanisaidia kufanya meno yangu yasiume. Iwe dawa ya kisuna au ya kihospitali nitainunua kwa gharama yoyote. Naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…