Habari zenu wanajamii,
Kuna gari ina tatizo ambalo nashindwa kulielewa/kulielezea sawa sawa.
Ni kwamba radio ya gari inazima (inakosa umeme?) baada ya muda fulani. Nikichomoa terminals za betri inafanya kazi, ila baada ya muda tatizo linarudi.
Radio inakua kama haipati umeme kabisa.
Kuna mwenye wazo juu ya tatizo hili ama ajuaye fundi anayeweza ku-trouble shoot tatizo hilo?
Nishajaribu mafundi umeme wawili watatu bila kupata suluhu
Gari ni toyota wish.
RR