Tatizo la mfupa msaada

Tatizo la mfupa msaada

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
JF doctor hi!

I have two problems so I need a help

2007 nilipata ajali ya gari ambapo kuna chuma kiligonga ktk bega langu la kushoto kwa pale pale nilihisi maumivu ila baadae yalipungua na kunifanya niendelee kazi zingine ila jinsi mda ulivyokuwa unaenda tena maumivu yalianza hapo 2010 ikabidi niende TUMBI HOSPITAL ila doctor baada ya kunifanyia utabibu alinitaka nitumie dawa za maumivu kwani hakuna tatizo kubwa kuwa nitapona ila last year tena nikaenda LUGALO HOSPITAL nikafanyiwa x-ray x3 bado wakasema nina SPRAIN kuwa vishipa vidogo vilikatika ila vitapona polepole niendelee na kazi zangu kama kawaida na mda mwingine nitumie pain killer, kwa hapa naomba nipewe tiba mbadala sababu toka 2007 hivyo vishipa mbona bado nahisi maumivu hivyo vishipa haviponi?

Nahitaji msaada wenu jf's doctor ili niweze kupona hofu yangu isije ikaniletea matatizo hapo baadae na hustling nyingi na life likawa tough.

Shukrani!
 
Back
Top Bottom