Tatizo la Midomo Kupasuka

Tatizo la Midomo Kupasuka

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
Kila ikifika mwezi wa 5 na 6 midomo hupasuka na hua mikavu.

Sijui tatizo ni nini?

Nitazuiaje?
 
mimi cyo docta ila miez hiyo maeneo meng huwa ni barid ndiyo maana midomo hupasuka so unaweza ukacure kwa kula matunda
 
Ni kwa sababu ya upepo mkali ktk kipindi hicho,matunda na maji kwa wingi vinahitajika kutumiwa bila kusahau lipshine au unapaka mafuta ya mgando kidogo kwenye lips zako
 
duuuu asanteni wadau nilijua ngoma maana situmiagi condom si unajua vibamia size yetu haijatengenezwa
 
Back
Top Bottom