Tatizo la miguu kuuma.

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
wakuu kwema?
kuna tatizo linaninyima raha kabisa,miguu yangu kuanzia kwenye magoti kushuka mpaka kwenye visigino inaniuma sana,tatizo hili linanitokea pale nikiwa nimelala tu au nimekaa nimetulia.tatizo lilinianza last week na leo nimeenda hospital wamenipima sukari,HIV,malaria,typhoid na UTI lkn hawajanikuta na tatizo lolote.
wakuu tatizo langu inaweza likawa ni nini na nitumie dawa gani?
nb:me huwa sio mtu wa kufanya mazoezi,je inaweza ikawa ni sababu?
 
mkuu.tatizo lako lipoje? miguu inakosa nguvu?
mpaka ukaenda kupima.magojwa.yote hayo inawezekan unatatizo la kuhisi bado unatatizo ondoa hofu badilisha na mfumo wa.ulaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…