Tatizo la miguu kuwaka moto nyakati za usiku na macho kupungua nguvu ya kuona

bBusneM

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
288
Reaction score
578
Habari za hapa wakuu

Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 16 ni mwembamba na mrefu sana anasoma bording shule flani mjini lakini

Mwezi uliopita alikuja home akasma anasikia miguu kwemye unyayo inawaka moto hasa nyakati za usiku paka anashindwa kulala pia kama wiki umepita kabla ya kuja alikua anahisi macho kama yamepungua kuona yani haoni mbali na anatumia nguvu nyingi kuona tofauti na zamani

Basi nikampeleka hospital ya kawaida tu wakaniambia ana ukosefu wa vutamin B complex basi tukanunua hizo vitamin B complex pia tukapewa ushauri wa kunywa maji mengi na kupunguza baadhi ya vyKula kama wanga na mafuta

Basi dogo akarudi shule lakini baada ya kumaliza zile dawa za vitamini hali haikubadilika ndio ikawa kama imeongezekA

Akarudi tena ikabidi nimpeleke hospital kubwa kidigo na akafanyiwa vipimo vingi sana hadi x ray na vingine sivijui sababu sio mtaalamu huko

Majibu yakaja kwamba ana ugonjwa/mdudu amabae anasababisha hali hiyo na huyu anapatikana kwa kula sana nyama na wanga bila kula vyakula vingine hasa vya majani na kadhalika

Nilirizika na haya majibu sababu dogo huwa naishi nae muda mwingi na akiwa home hawajawi kupika mboga za majani wala ugali yeye ni wali na nyama akibadilisha basi samaki(by the way Mimi ni muajiriwa so bado naishi kigetogeto na dogo akirudi anafika kwangu na mara zote anakua kwangu)

Basi wakampa mzigo wa dawa amabazo zinachukua mwezi kumaliza

Wiki iliopita akaenda skuli tena na dawa zote pia na ushauri mwingi wa kunywa maji mengi na kujaribu kubadilisha chakula ale majani sana pia nyama ameshaacha, natumai huu ushauri aliuzingatia sababu hata yeye inampa shida na miguu usiku inawaka pia inachoma sana na inamkosesha raha kwaio alizingatia sababu anataka kupona

Kitu kilichonishitua ni leo kaja anasema braza hali haijabadilika hata kidogo usiku miguu inachemka kama nini mbaya ni kwamba macho pia yanazidi kumsumbua yani aliku na test leo kaifanya kwa Shida sana yani paka aangalie mara mbili ndio anaona vizuri in short macho sasa yanampa shida na haoni kwa raha lakini hayaumii wala hayatoi machozi au kitu chochote

Sasa wakuu labda kuna shida gani inamsumbua dogo kutokana na maelezo hayo na kifanyike nini sasa

Dawa ametumia kwa wiki moja na siku moja hadi sasa nilitegemea kidogo unafuu ungepatikana lakini wapi

Nahitaji ushauri wenu madakitali ikizingatiwa ndio anaelekea kwenye necta kijana mana yuko kidato cha 4 sana na macho ndio yanamsumbua na pia halali Kwa raha sababu ya miguu kuchoma na kufa ganzi

Natanguliza shukrani wakuu
 
Wapigie hawa watakusaidia 0675617056
 
Mpime sukari,na pia huko shule,mfahamishe Mwalimu mkuu,ili ikifika wakati wa mtihani,wa taifa,apewe mitihani ya maandishi makubwa,kwa ajili ya uoni hafifu.
 
Inawezekana ikawa Diabetes Type 1 inawapata watoto na vijana na huwa wanatumia Insulin Injection.
Nenda Hospitali akapimwe ili kuthibitisha.
 
Duuuh kisukari Kwa kijana mdogo wa miaka 16 tena wala sio mnene kabisa ni mwembamba

Okay Ngoja taenda kumpima sukari tuone
Kisukari hakina umri, kimo, jinsia, wala uzito....
 
Duuuh kisukari Kwa kijana mdogo wa miaka 16 tena wala sio mnene kabisa ni mwembamba

Okay Ngoja taenda kumpima sukari tuone

Mwambie atembee pekua , mara nyingi kama anavaa viatu kwa muda mrefu , huwa anajitenga na asili , afanye hivyo tu atapona kabisa
 
Habari za hapa wakuu

Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 16 ni mwembamba na mrefu sana anasoma bording shule flani mjini lakini

Mwezi uliopita alikuja home akasma anasikia miguu kwemye unyayo inawaka moto hasa nyakati za usiku paka anashindwa kulala pia kama wiki umepita kabla ya kuja alikua anahisi macho kama yamepungua kuona yani haoni mbali na anatumia nguvu nyingi kuona tofauti na zamani

Basi nikampeleka hospital ya kawaida tu wakaniambia ana ukosefu wa vutamin B complex basi tukanunua hizo vitamin B complex pia tukapewa ushauri wa kunywa maji mengi na kupunguza baadhi ya vyKula kama wanga na mafuta

Basi dogo akarudi shule lakini baada ya kumaliza zile dawa za vitamini hali haikubadilika ndio ikawa kama imeongezekA

Akarudi tena ikabidi nimpeleke hospital kubwa kidigo na akafanyiwa vipimo vingi sana hadi x ray na vingine sivijui sababu sio mtaalamu huko

Majibu yakaja kwamba ana ugonjwa/mdudu amabae anasababisha hali hiyo na huyu anapatikana kwa kula sana nyama na wanga bila kula vyakula vingine hasa vya majani na kadhalika

Nilirizika na haya majibu sababu dogo huwa naishi nae muda mwingi na akiwa home hawajawi kupika mboga za majani wala ugali yeye ni wali na nyama akibadilisha basi samaki(by the way Mimi ni muajiriwa so bado naishi kigetogeto na dogo akirudi anafika kwangu na mara zote anakua kwangu)

Basi wakampa mzigo wa dawa amabazo zinachukua mwezi kumaliza

Wiki iliopita akaenda skuli tena na dawa zote pia na ushauri mwingi wa kunywa maji mengi na kujaribu kubadilisha chakula ale majani sana pia nyama ameshaacha, natumai huu ushauri aliuzingatia sababu hata yeye inampa shida na miguu usiku inawaka pia inachoma sana na inamkosesha raha kwaio alizingatia sababu anataka kupona

Kitu kilichonishitua ni leo kaja anasema braza hali haijabadilika hata kidogo usiku miguu inachemka kama nini mbaya ni kwamba macho pia yanazidi kumsumbua yani aliku na test leo kaifanya kwa Shida sana yani paka aangalie mara mbili ndio anaona vizuri in short macho sasa yanampa shida na haoni kwa raha lakini hayaumii wala hayatoi machozi au kitu chochote

Sasa wakuu labda kuna shida gani inamsumbua dogo kutokana na maelezo hayo na kifanyike nini sasa

Dawa ametumia kwa wiki moja na siku moja hadi sasa nilitegemea kidogo unafuu ungepatikana lakini wapi

Nahitaji ushauri wenu madakitali ikizingatiwa ndio anaelekea kwenye necta kijana mana yuko kidato cha 4 sana na macho ndio yanamsumbua na pia halali Kwa raha sababu ya miguu kuchoma na kufa ganzi

Natanguliza shukrani wakuu

Mzunguko wa damu mwilini hauko sawa , ili macho yapate uono sahihi yanahitaji damu ifike vizuri kwenye macho , na hata miguu vivyo hivyo

Tunachojua mtoto wa rika lake ni ngumu kupatikana na changamoto kama hizo , maana mazoezi ni mengi kama kucheza mpira na mengineyo , Sasa huenda hapendelei michezo , hivyo kufanya energy flow kukwama na kusababisha mzunguko wa damu kuwa vibaya na mishipa kuathirika

Anachotakiwa kufanya ni atembee peku mara nyingi , na acheze michezo , ili energy flow iwe vizuri na mzunguko wa damu na kufanya Mifumo kufanya Kazi vizuri , hivyo hiyo shida itaieha kabisa
IMG_2362.jpg
 
Back
Top Bottom