egentle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 808
- 386
Wanabodi, nipo kwenye masononeko makubwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo la miguu la mama yangu, leo almost nilie mama amaenguka mbele yangu anasema mguu mmoja ndo unakataa hata kunyanyuka.
Mama anasumbuliwa na miguu sana. Amejarib kwenda hosp, katumia dawa za kumeza, kuchua pia lakin hakuna hafueni. Sasa anafanya kazi ya kuchua na kuhudhuria ceragym. Lakin bado hajapata ufumbuzi.
Aliwahi shauriwa na dk mmoja apunguze kutumia red meat, kama njiaa ya kupunguza tatizo.
Kuhusu mazoezi mama anatembea sana daily lakini nothng,
Hebu jamani naomba mnisaidie dawa nimtibu mama yangu.
NB. Amesha tumia madawa mengi, so tusiweke biashara kuliko afya ya mgonjwa, maana wengine hutaka kuuza dawa zao ilihali wakijua haitibu sawa sawa.