Tatizo la miguu

egentle

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
808
Reaction score
386
Wanabodi, nipo kwenye masononeko makubwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo la miguu la mama yangu, leo almost nilie mama amaenguka mbele yangu anasema mguu mmoja ndo unakataa hata kunyanyuka.

Mama anasumbuliwa na miguu sana. Amejarib kwenda hosp, katumia dawa za kumeza, kuchua pia lakin hakuna hafueni. Sasa anafanya kazi ya kuchua na kuhudhuria ceragym. Lakin bado hajapata ufumbuzi.

Aliwahi shauriwa na dk mmoja apunguze kutumia red meat, kama njiaa ya kupunguza tatizo.

Kuhusu mazoezi mama anatembea sana daily lakini nothng,

Hebu jamani naomba mnisaidie dawa nimtibu mama yangu.

NB. Amesha tumia madawa mengi, so tusiweke biashara kuliko afya ya mgonjwa, maana wengine hutaka kuuza dawa zao ilihali wakijua haitibu sawa sawa.
 
Pole sana ndugu! Nina swali moja tu je BMI yake ni ngapi ? In other words urefu wake ni meters ngapi na uzito kilo ngapi?
 
Samahani mkuu...kama.unaamini katika mambo ya kiswahili namaanisha ulozi...
Jaribu huko mkuu..
 
........Muda mwingine na umri pia, kama mama ni mtu mzima nayo pia inachangia kwa baadhi ya watu kuumwa miguu.
 
........Muda mwingine na umri pia, kama mama ni mtu mzima nayo pia inachangia kwa baadhi ya watu kuumwa miguu.

Kipi kifanyike kama hili lingekuwa tatizo?
 
Angalia kwenye internet tatizo linaitwa Osteoporosis . hii huwa common kwa akina mama wenye umri mkubwa. hormones zinabadilika na kufanya mifupa kuwa dhoofu.
 
Angalia kwenye internet tatizo linaitwa Osteoporosis . hii huwa common kwa akina mama wenye umri mkubwa. hormones zinabadilika na kufanya mifupa kuwa dhoofu.

Solution ni ipi mkuu
 
Angalia kwenye internet tatizo linaitwa Osteoporosis . hii huwa common kwa akina mama wenye umri mkubwa. hormones zinabadilika na kufanya mifupa kuwa dhoofu.
hiyo nikweli na ndio tatizo lake kwa uhakika wa asilimia 90, Kama utahitaji suluhisho nipm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…