Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mkongo huwa hauna mistari?Wakuu Naombeni ufahamu, fundi kaniwekea milango aina ya mkongo, baada ya wiki mbili imepasuka kama picha inavyoonyesha, naomba kujua tatizo ni nini na nitairekebishaje.
Huo no mtondoo unapotengenezewa fenicha ukiwa haujakauka vizuri unapoanza kukauka unajipinda na na kujiminya.mtondoo haufai kutengenezea fenicha ukiwa mbichi.Wakuu Naombeni ufahamu, fundi kaniwekea milango aina ya mkongo, baada ya wiki mbili imepasuka kama picha inavyoonyesha, naomba kujua tatizo ni nini na nitairekebishaje.
View attachment 2436642View attachment 2436643View attachment 2436644
zilikuwa bado mbichi! Hapo subiria mpaka january 2023 zikauke zaidi na vizuri kisha fundi aje aweke vumbi la mbao kisha apigeVarnish tenaWakuu Naombeni ufahamu, fundi kaniwekea milango aina ya mkongo, baada ya wiki mbili imepasuka kama picha inavyoonyesha, naomba kujua tatizo ni nini na nitairekebishaje.
View attachment 2436642View attachment 2436643View attachment 2436644
Picha ya kwanza inaonesha kwenye huo mpasuo kulikuwa na maungio ya mbao mbili ndio maana mpasuo umenyooka bila kona yoyoteWakuu Naombeni ufahamu, fundi kaniwekea milango aina ya mkongo, baada ya wiki mbili imepasuka kama picha inavyoonyesha, naomba kujua tatizo ni nini na nitairekebishaje.
View attachment 2436642View attachment 2436643View attachment 2436644