ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Yani unataka kufananisha nyani waliochangamka na binadamu?
Kwa wenzetu e.g. Denmark; mahusiano yapo katika ngazi 3 1. Mahusiano ya kufahamiana tu hakuna lengo.Hapa haiwezekani kupeana mimba kwani Tendo halipo. 2. Mahusiano ya Urafiki boy / girl friend. Hapa kwa kawaida msichana huwa makini na wengi hutumia contraceptives. 3. Mahusiano ya kuishi pamoja (i) Kama mume na mke lakini bila kuzaa.(ii)Kama Mume na mke kwa majaribio e.g. mwaka 1-2. bila ndoa bila watoto (iii) Kama mume na mke bila ndoa lakini waweza kuzaa watoto na kuwalea (iv) Kuishi kama Mume na Mke wenye kiapo cha Ndoa na ikiwezekana kuzaa watoto n.k.(Hii (iv)hufanyika kwa mujibu wa Dini au Bomani/Serikali.)Naomba kujua je huko nchi zilizoendelea na penyewe watu bado wanapeana mimba zisizotarajiwa kwa sababu tu ya kunogewa na penzi au huko walishatoka hio level na kwamba Lazima mimba ipangwe.
Huku kwetu ni kawaida mwanaume huna hili wala lile unashangaa Unaletewa Habari ya ujauzito ok nataka nijue km na huko mambele kuna hio kasumba.