Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna miaka ilikuwa mtoto akionekana mbishi wa kula, amezubaa zubaa au goigoi sana wazazi wanaambiana inawezekana ana minyoo na mara moja atapewa dawa za minyoo bila hata kumuona daktari, ila umepita muda mrefu sana sioni watoto wakipewa dawa za minyoo/ safura tena!
Nafikiri hata kipindi fulani shuleni watoto walipokuwa wanapewa chanjo za vitamin A walikuwa wanapewa na dawa za minyoo pia.
Minyoo imetokomezwa nchini?
Nafikiri hata kipindi fulani shuleni watoto walipokuwa wanapewa chanjo za vitamin A walikuwa wanapewa na dawa za minyoo pia.
Minyoo imetokomezwa nchini?