Tatizo la Misuli ya Mapajani kuuma

Tatizo la Misuli ya Mapajani kuuma

blogspot

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,268
Reaction score
1,143
Habari wataalamu

Poleni na hongera katika majukumu yenu yakila siku

Wakuu naomba kujuzwa ni nini hasa sababu na suluhisho la tatizo langu hili lililonianza wiki ya Pili sasa.

Wakuu nimekua nikipata maumivu ya kawaida sio Makalu sana katika misuli ya mapaja ,huwa inakua kama inapata joto lakini pia ikiuma kwa mbaali haswa ninapokua nimekaa ,Ila nikiwa natembea hainiletei maumivu.

Lakini pia mimi ni mtu wakufanya mazoezi HOME WORKOUT kwa wiki Mara 4

Nawasilisha tafadhali.
 
Back
Top Bottom