Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,601
- 2,354
This is JFHauna hela tu,ukiwa na hela moyo unaenda taratibu unajua una jawabu ya mambo yote...punguza kuwa na wasiwasi na mambo,fanya mambo unayoyaweza usiyoyaweza achana nayo
Am i right,wrong or in between two of them?😁😁This is JF
Shukran mkuuNenda kwa daktari haraka ukapime shinikizo la damu (blood pressure). Inawezekana kabisa una tatizo la high blood pressure. Haijalishi umri wako.
Nashukuru mkuu kuna kitu nimepata kwnye comment yakoHauna hela tu,ukiwa na hela moyo unaenda taratibu unajua una jawabu ya mambo yote...punguza kuwa na wasiwasi na mambo,fanya mambo unayoyaweza usiyoyaweza achana nayo
Situmiag kabisa hv vitu mkuuKama unakunywa kahawa au energy drinks uache
Nashukuru mkuu kwa ushaurEpuka kahawa ,pombe , sigara , vyakula vya pilipili nyingi na energy drinks pia fika hospitali upimwe sababu kuna visababishi vingi vya moyo kupiga kwa nguvu kama wingi wa hormone ya thyroid , upungufu wa damu , magonjwa ya moyo
Wahi hospital watakufanyia vipimo vya msingi vya vital signs na vingine vikubwa. Ila kawaida wanaanza na vidogo kwa kuanzia Blood Pressure na Pulse Rate. Nina hakika PR itaonesha kuwa ni kubwa kama unaisikia kwa sasa. Pressure ndiyo sijui.Hivi karibun nimepata tatzo la moyo kuwa unapga vbaya wataalam mliopo humu naomba msaada kujua nifanyeje coz inanipa wasi wasi sana hali hii
Natanguliza shukrani
Shukrani mkuuHiyo shida ya moyo kupiga bila mpangilio mzuri linaitwa arrhythmia. Lina tiba na dawa zake. Nenda hospitali.
Nashukuru mkuu nimeambiwa nikafanye ECG maana pressure ipo kawaida na wing wa damu uko vzrWahi hospital watakufanyia vipimo vya msingi vya vital signs na vingine vikubwa. Ila kawaida wanaanza na vidogo kwa kuanzia Blood Pressure na Pulse Rate. Nina hakika PR itaonesha kuwa ni kubwa kama unaisikia kwa sasa...
Situmiag energy drink kabisa wala kahawaVijana na hizo energy drinks zenu
Sijui km mtatoboa
Safi. Ukikuta iko normal fuatilia hivyo vipimo nilivyokuambia hapo juu. Pia wakupime HPilori Bacteria pia.Nashukuru mkuu nimeambiwa nikafanye ECG maana pressure ipo kawaida na wing wa damu uko vzr
shukrani mkuuSafi. Ukikuta iko normal fuatilia hivyo vipimo nilivyokuambia hapo juu. Pia wakupime HPilori Bacteria pia.