Wahi hospital watakufanyia vipimo vya msingi vya vital signs na vingine vikubwa. Ila kawaida wanaanza na vidogo kwa kuanzia Blood Pressure na Pulse Rate. Nina hakika PR itaonesha kuwa ni kubwa kama unaisikia kwa sasa. Pressure ndiyo sijui.
Then ukikuta pressure ni kubwa na PR kabla ya kukimbilia kumeza dawa za BP fanya utafuti kwanza kujua chanzo cha tatizo hivyo omba ufanye Thyroid Function Test inaitwa T.S.H na T3 na T4. Kama ziko sawa omba ifanye ECG na ECO hivi ni vya moyo haswa. Mpaka hapa ni lazima utagundua tatizo.
KAMA tatizo mpaka hapo halijagundulika omba ufanyike kipimo cha kupima stress hormones ( adrenal) kunaitwa Cortisol AM na PM =Cortisol hormone. Hiki kipimo kinasahaulika sana ila kinasumbua sana watu wengi na mpaka wanakuja kugundua wana tatizo unakuta damage kubwa sana imeshafanyika mwilini.
Ukishapima uniletee majibu PM nitakushauri mno na utafanikiwa.
Karibu.
N.B ukikuta una tatizo la thyroid nakushauri upime pia hiyo Cortisol Hormone. Mara kadhaa wenye thyroid problem (Hyperthyroidism au Hypothyroidism) wanakuwa na Cortisol Challenge low au high.