Tatizo la mtoto kuharisha na kutapika

Joined
Nov 22, 2020
Posts
23
Reaction score
11
Habari wadau,

Msaada Mwanangu anatapika na kuharisha na muda wote analala tu, naombeni mtu ambae ana experience na hii kitu.

Nimeenda hospitali mbili tofauti wamempatia madawa kunywa shida na akinywa muda si muda anatapika tena , hospitali walisema ana UTI na backeria tumboni sasa da anaendesha na kutapika na muda wote, amenyongonyea tu.

Namba yangu hiyo hapo 0712432619
 
Mpeleke kwa dr.hassanali yuko mtendeni town karibu na saphire hotel
Huenda ni bacteria infenction hiyo!
 
Kimbia haraka sana mpeleke kwa daktari.

Ataishiwa maji atakukatikia mkononi usipokuwa makini
 
Kimbia haraka sana mpeleke kwa daktari.

Ataishiwa maji atakukatikia mkononi usipokuwa makini
nishampeleka two hospital ila ndio vile dawa hazimsaidii izo ndio dawa nilizopewa ila ndio kama anazidi hivi
 

Attachments

  • F9D5BC81-3DB5-4171-ACAF-E2CD452DAAC2.jpeg
    1.6 MB · Views: 67
  • 4284E912-9821-4D1C-85C7-AADEE1D85EFE.jpeg
    1.6 MB · Views: 66
  • 7F5B6746-D207-4589-AABE-3C00C157077F.jpeg
    1.7 MB · Views: 62
Tafta fundi ww. Mengne si ya kawaida.
Ni maon tu
 
sbc fashion plus
Pole na kuuguliwa mtoto.
Ungesema ni kwa muda gani anaugua na dawa haswa ya pili hapo umepewa lini.

Kama mzazi na mtoto kutokuwa na maji yanavyopungua akiharisha na kutapika ni muhimu kumpa maji kila wakati. Ila kuna njia nyingine huku unatafuta matibabu..

nunua sprite au 7up ondoa gesi. Unatingusha chupa na kuachia gesi itoke kwa kurudia au ichemshe inafanya kwa haraka. Ikipoa mpatie kidogo kidogo hata akinywa yote sawa tu hivi ni kumsaidia maji mwilini na pia kutibu ya tumboni kutuliza aache kutapika na kuharisha. Kama upo nyumbani nae muda hii kanunue umpatie kabla ya kwenda popote asubuhi au usiku huu kama bado haujaenda.

Ushauri tu nilipewa miaka ya nyuma na daktari... Huwa inasaidia na nashauri wengine. Zaidi inabidi apewe drip kumsaidia na matibabu zaidi.
 
Hata ukiona mtoto anataka kukata kamba fanya uwezavyo anywe jata 2 spoons za ORS...Atafungua jicho...huyo ni mchawi wa kutapika..then mrudishe hosp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…