medrickrobert
Member
- Apr 25, 2017
- 58
- 9
Mke wangu amepima hospital akakutwa mtoto kakaa vibaya, na docta alisema kuna hatar ya kufa mama au mtoto, na alimshaur ma mkwe aende kwenye tiba asilia, naomba mwenye utaalam kuhusu hili anisaidie mm na mke wang, plzzz
Hiyo mimba haijafkisha hata miez minne, na umesema haruhusiwi kutumia dawa, haspital anatibiweje,Mama mjamzito mara nyingi ashauriwi kutumia dawa mpaka pale ujauzito utakapofikia miezi 7 na kuendelea..hatatumia dawa kwa maelezo ya Dr. na chini ya uangalizi wake.
Shida ya mtoto kukaa vibaya mara nyingi huwa wanashauri mama mjamzito hawe anafanya mazoezi zaidi.
Dr.anayekushauri kutumia Tiba asilia sio Dr.nadhani atakuwa muuguzi
Ushauri wangu kwa sasa Tafuta Hosp.nzuri mpeleke mkeo hapo. Na kama hauko mjini basi jaribu kuamia japo kwa mda karibu na hosp.
ambayo unaweza kupata huduma nzuri na salama kwa mkeo..
Nashukuru kwa ushaur ntafanya hvyoBadili hospitali na dokta haraka sana
Kwann umesema hvyo mkuu,Ukiona dokta wa hos anakutuma kwenye tiba asilia ujue anamaanisha
Ye alitoa tu ushaur tuende kwenye tiba asilia, xa cjui ametumia vigezo gn,Huyo atakua doctor aliyegushi chet au ni nesi ,, kwa hyo alikupa majibu hayo bila kukupa msaada au namna ya kufanya?