miss mwanjelwa
Member
- Sep 4, 2016
- 62
- 42
Wadau habarini za shughuli, kwa anaye fahamu dawa ya choo chenye utelezi kama kamasi anisaidie please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilienda wakasema minyoo maana alikuwa anatapika na kuharisha saiv amepona imebaki hiyo hali tu.Nenda hospital hasa zinazojielewa omba wafanye stool routine, choo kuwa na kamasi/mucus Kuna mengi yanasababisha pengine ana intestinal parasites kukutajia tu dawa ipi atumie hatutakuwa tunamaliza tatizo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo wengine wanasema et meno yanaota ..Nilienda wakasema minyoo maana alikuwa anatapika na kuharisha saiv amepona imebaki hiyo hali tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtoto.Samahani mkuu, vipi unaugua/unajisaidia wewe au mwenzako?
Mkubwa au mtoto.?