miss mwanjelwa
Member
- Sep 4, 2016
- 62
- 42
Nilienda wakasema minyoo maana alikuwa anatapika na kuharisha saiv amepona imebaki hiyo hali tu.Nenda hospital hasa zinazojielewa omba wafanye stool routine, choo kuwa na kamasi/mucus Kuna mengi yanasababisha pengine ana intestinal parasites kukutajia tu dawa ipi atumie hatutakuwa tunamaliza tatizo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo wengine wanasema et meno yanaota ..Nilienda wakasema minyoo maana alikuwa anatapika na kuharisha saiv amepona imebaki hiyo hali tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtoto.Samahani mkuu, vipi unaugua/unajisaidia wewe au mwenzako?
Mkubwa au mtoto.?