Chomx_active
Member
- Nov 27, 2015
- 9
- 9
Nina mtoto wa wiki tano na siku 4 anasumbuliwa na tatizo la kukosa choo leo ni siku ya 14 hajapata , na hiyo mara ya mwisho kupata choo na penyewe alikaa siku 11 bila kupata choo ndipo akapata ,Naombeni msaada wa mawazo na nini cha kufanya kuhusu hili suala doctors!