Nyanda lunduma
Senior Member
- Apr 10, 2015
- 187
- 68
Teh teh teh viuno feni.Aende hospital aeleze anaeza saidiwa labda ana tatizo hasahasa haya magonjwa ya kike ....
Au umemgeuza mwenzio panga boi maana hamshindwi wanaume mnataka viuno feni akitoka kiuno chote nati zimetoka .... Punguza mkunja mwenzio ( joking)
Habari ndg zangu.
Ni siku nyingi sasa mke wangu kila tukifanya tendo la ndoa baada ya kumaliza kiuno chake huwa kinauma .
Ni tatizo gani na nini solution ambayo inaweza kumsaidia aweze kuondokana na tatizo hilo. Nawasilisha wana JF msaada kwenu :
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Panga boiAende hospital aeleze anaeza saidiwa labda ana tatizo hasahasa haya magonjwa ya kike ....
Au umemgeuza mwenzio panga boi maana hamshindwi wanaume mnataka viuno feni akitoka kiuno chote nati zimetoka .... Punguza mkunja mwenzio ( joking)
Mwenyewe ndo mwalimu wao wa style za kivitaAcheni kufanya style za kivita jamani
Asante ndgMkuuu pole,, ushaur nenda hospital akapatiwe tiba...maumivu wakati au baada ya sex husababishwa namambo mengi sana mfano labda ana PID ( maambukizi ktk nyonga zake ).au IBS ,au endometriosis ...
Kwaufupi mwambie awahi mapema hospital.
Hahahaaa.....umenikumbusha Linea Mesina, Sumana Naree..... enz hzo ni baharia[emoji3]Inategemea na aina ya Mkuyenge / Uume kwani kuna mwingine ukimuingia tu Mbunyeni / Ukeni Mwanamke huenda ' Kugota ' mule ndani na ' Kukandamiza ' kabisa vilivyomo mule hadi kumpa maumivu makali utadhani ' nanga ' ya Meli ya Kigiriki ya Linea Messina imeshushwa majini ili Meli isimame.