Mkuuu pole,, ushaur nenda hospital akapatiwe tiba...maumivu wakati au baada ya sex husababishwa namambo mengi sana mfano labda ana PID ( maambukizi ktk nyonga zake ).au IBS ,au endometriosis ...
Maumivu ya kiuno mara baada ya kujamiiana ni tatizo la kawaida na lenye gharama..kwa kitaalamu inaitwa Lumbago na tiba pekee ni hospitali japo wapo wataalamu wa tiba mbadala wenye kutibu hiyo kitu..ila upatikanaji wake sasa dah!?