Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Hizo homons zinazomfanya mjamzito kula kwa shida na kutapika miezi yote hazina namna ya kuzirekebisha ki matibabu?Wengine wanaendelea na hiyo hali hadi kujifingua haina shida japo inatesa ni mambo tu ya vichochea mwili...hormones
Duhhh...[emoji45] [emoji45]Salaam kwenu wana hamvi!
Nina swali moja natafuta majibu yake kwenu naomba msaada hapa;
Ninavyojua Mwanamke akipata mimba hupata kichefuchefu na kutapika hasa ndani ya miezi mitatu ya mwanzo, na baada ya hapo hali hiyo huisha;
Je Mwanamke kupata kichefuchefu na kutapika tangu anashika mimba mpaka anapojifungua tatizo huwa ni nini?
Salaam kwenu wana hamvi!

Kutapika ktk 1st trimester (1st 3 months of pregnancy) is common, huisha by 14 weeks lakin kwa wengine hadi wiki ya 22. Tatizo hili huitwa morning sickness.Salaam kwenu wana hamvi!
Nina swali moja natafuta majibu yake kwenu naomba msaada hapa;
Ninavyojua Mwanamke akipata mimba hupata kichefuchefu na kutapika hasa ndani ya miezi mitatu ya mwanzo, na baada ya hapo hali hiyo huisha;
Je Mwanamke kupata kichefuchefu na kutapika tangu anashika mimba mpaka anapojifungua tatizo huwa ni nini?
thank you!Kutapika ktk 1st trimester (1st 3 months of pregnancy) is common, huisha by 14 weeks lakin kwa wengine hadi wiki ya 22. Tatizo hili huitwa morning sickness.
It is a physiological changes ambapo kiwango kikubwa cha vichocheo (hormones) ktk mfumo wa damu hasa hasa estrogen na hcG (human choriogonadotrophin hormon) ndio sababu kubwa.
. Eating small meals at more frequent intervals is recommended
. Hot foods may aggreviate vomiting kwa hiyo aepuke Kula vyakula vya moto badala yake ale vyenye uvuguvugu
. Smell of certain foods often worsen symptoms kwa hiyo should be avoided
. Mafuta mengi kwenye chakula pia huongeza kichefuchefu hivo aepuke vyakula vyenye mafuta mengi
. Hali ikizidi anaweza kupewa dawa (kuhusu Aina na strength ya dawa Njoo inbox au fika hospitali)
Hali hii kwa baadhi huwa ni kali zaidi hadi kuhitaji kulazwa Kwani huweza kupelekea mama kuishiwa maji mwilini. Hii huitwa Hyperemesis Gravidarum kwa maana hiyo nakushauri ufike hospitali kama utaona inafaa kwa uchunguzi na ushauri zaidi
unatania aisee!! ha ha ha!Hayo ni mabadiliko ya hormone tu. Tena siku ya kuacha kutapika wala hatajua, atajikuta tu hiyo hali haipo tena.
Wajawazito wenye watoto Wa kiume wengi ndiyo wanakuwa na hali hiyo.....hmm! Natania hapo.
Hongereni sana. Hakikisheni mnashirikiana na kuwa karibu mpaka Mke atakapojifungua na malezi kwa ujumla.
Kawaida kutapika miezi 10?Hiyo kawaida mkuu
Dawa zipo sana!!Hakuna dawa mkuu hali inatesa sana hiyo na inaweza kuwa kwa mimba hii tu au zikawa zote yote inawezekana kuwa nae karibu mpe mapenzi ya karibu ili aondoe hofu, inaweza kuisha mapema au ikaendelea mpaka kule labour ward yaani inatesa hadi unaweza kusema mimba itolewe tu
una minyooMi hata bila mimba nachafukwaga tuu kama mjamzito