Tatizo la mwanamke kutokuwa na mpagilio wa hedhi

Shmaider

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
406
Reaction score
120
Je kunaukweli kuwa mwanamke ambaye tarehe zake za hedhi zikiwa hazipo katika mpangilio mzuri anaweza kutopata ujauzito?
 
Nielewashe hapo bado nipo njiapanda
 
Je kunaukweli kuwa mwanamke ambaye tarehe zake za hedhi zikiwa hazipo katika mpangilio mzuri anaweza kutopata ujauzito?
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Doctor rafiki yangu aasumbuliwa na tatizo lakutokuwa na mpangilio sahihi wa tarehe ya hedhi je anaweza kushika ujauzito?
 
Doctor rafiki yangu aasumbuliwa na tatizo lakutokuwa na mpangilio sahihi wa tarehe ya hedhi je anaweza kushika ujauzito?
MWANAMKE: KWANINI UNA MZUNGUKO MBOVU WA HEDHI?

Imekuwa kawaida kuwasikia wanawake wakilalamikia kuhusiana na kuwa na mizunguko mibovu kabisa ya hedhi ambayo imekuwa ikiambatana na maumivu makali ya tumbo la chini, kuingia hedhi mara mbili kwa mwezi, kutokwa damu nyingi na kwa kipindi kirefu. Leo tutaona visababishi vya matatizo hayo pamoja na suluhisho lake ambapo litakuweka wewe binti/mwanamke/ mama ufurahie siku zako za hedhi na siyo kuzichukia.

SABABU ZA KUWA NA MZUNGUKO MBOVU/UNAOBADILIKA MARA KWA MARA ■MAZINGIRA – Mazingira yanaweza kumfanya mwanamke kuwa na mzunguko usioeleweka. Kuhama kutoka eneo pengine lenye baridi kwenda eneo lenye joto inaweza kusababisha hali hiyo ■Kuwa na hofu/Uoga/Stress ■Uwepo wa uvimbe katika kizazi ■Matatizo ya mfumo wa homoni – hii ndiyo tatizo kuu kwa akinadada hasa kutokana na vyakula wanavyopenda kuvitumia ■Matatizo katika vifuko vya mayai na tabaka la ndani la kizazi ■Maambukizi sugu katika kizazi, mara nyingi unapoenda Hospitali unaambiwa una U.T.I(yutiai), lakini ukweli siyo hivyo. ■Kutokwa na uchafu ukeni na maumivu wakati wa tendo la ndoa ambayo hupelekea mwanamke kutofurahia tendo la ndoa.

UCHUNGUZI Uchunguzi hufanyika katika Kliniki za magonjwa ya Akinamama ambapo vipimo mbalimbali hufanyika ikiwemo vipimo vya damu, mkojo, ultrasound na vingine.

ATHARI ZA MZUNGUKO USIOELEWEKA Siyo suala la kufurahia au kuishia kusikitika unapokuwa na tatizo tatizo. Madhara yake ni kama yafuatayo: ●KUTOPATA UJAUZITO ●MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI ●KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI ●KUPOTEZA HAMU YA TENDO LA NDOA IKIWA NI PAMOJA NA KUPATA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA.

Suluhishi aende kumuona Daktari ampime asipo pona uje unione mimi nitaweza kumtibia na akapona.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…