Habari zenu wadada wenzangu.mie naomba mnisaidie Mdogo wangu ana tatizo la kutokua na mzunguko mzuri Wa hedhi.Anaipata miezi 2 alafu inakata tena baada ya miezi 3 ndo anaiona tena.kwa madaktari naomba ushauri au mtu yoyote aliekua na tatizo kama la Mdogo Wangu akapona atusaidie.hospitali tumeenda anaambiwa kutumia majira.akitumia majira kweli anaingia kwenye mzunguko akiacha tu mzunguko unakata kama kuna mtu anajua dawa zaidi ya majira atusaidie.