Tatizo la ndevu kuwasha

Tatizo la ndevu kuwasha

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
2,177
Reaction score
2,804
Wakuu mimi ni wale wanaopenda kufunga ndevu nyingi adi zikafunika sura.

Tatizo kila vikianza kuchomoza kidogo tu kidevu kinawasha adi nalazimika kunyoa. Je kuna tatizo la kiafya au ni namal tu ndevu kuwasha.
 
Baada ya kunyoa huwa unapaka nn
 
Nami ninatatizo kama lako, na mbaya zaidi upande wangu mimi ndevu huwasha sana na baadae kutokwa na vipele.
Nalazimika kunyoa mara kwa mara.

Wataalamu tusaidieni nini tufanye ili kumaliza hili tatizo sugu.
 
Daaaaa mkuu magic zinatoa upele sana mm kiukweli naona bora kutumia mashine tu
Inategemea ntu na ntu! Kuna wengine magic zinawakubali wakati wengine mashine zinawakubali. Wazungu asilimia kubwa wananyoa ndevu kwa kutumia magic!
 
Sipaki chochote mkuu
Nunua kitaulo ukimaliza kunyoa na hata zikiwa zimeshaota, lowanisha kitaulo kwenye maji ya moto kisha kanda kidevu. Utajisikia vizuuri bila kuwashwa.

Usipake spirit wala maujinga mengine zaidi ya lotion kwani kidevu kitakomaa kama kifuu.
 
Back
Top Bottom