Moshi wa Kumbi
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 165
- 100
Hilo bado cjafanyaUmejaribu kubadili line na kuweka ya mtandao mwengine?
mkuu msaada plz nna pc aina ya dell,ukitumia kwa mda fulani inajizima cjui shida nn?Umejaribu kubadili line na kuweka ya mtandao mwengine?
Haipati joto? Kuna nyuzi Fulani za joto zikitoka huwa PC inajizima,mkuu msaada plz nna pc aina ya dell,ukitumia kwa mda fulani inajizima cjui shida nn?
Jaribu kureset pc yako mkuumkuu msaada plz nna pc aina ya dell,ukitumia kwa mda fulani inajizima cjui shida nn?
Jaribu kureset pc yako mkuu
joto inapata ila sio sana,sometimes umetumia ndani ya nuxu xaa tuu inazima.Haipati joto? Kuna nyuzi Fulani za joto zikitoka huwa PC inajizima,
Na ukitumia hali ya Kuwa umechomeka adapter pia inazima?joto inapata ila sio sana,sometimes umetumia ndani ya nuxu xaa tuu inazima.
yap inazima.Na ukitumia hali ya Kuwa umechomeka adapter pia inazima?
Na ikizima haitoi ile blue screen of death?yap inazima.
hapana inazima tyu gaflaNa ikizima haitoi ile blue screen of death?
ukishaanza kutumia inaweza chukua hata lixaa 1 ndo inazimahapana inazima tyu gafla
Mkuu inawezekana Ni cooling system, jaribu siku kuitumia eneo lenye upepo ama hewa ya kutosha Kama nje Hivi ama usiku mahala penye baridi then uone Kama itazima.ukishaanza kutumia inaweza chukua hata lixaa 1 ndo inazima
mkuu ni saidie hii kitu kuna jamaa anauza dell 500000
processor intel (R)core (TM)i7-2760QM CPU@2.40GHz,2401mhz,4core(s)&logical processoer
insalled physical memory (RAM)8 GB
total physical memory 7.90GB
HDD GB 900
RAM GB8
MIM SIO MJUZI WA HIVI VITU,JE ni mpe huo mkwanja au ntakuwa nimepigwa?
kiukwel mda cjamuuliza mkuu,sema hata hivyo betri sio zuri unaweza tumia masaa 2.Imetumika muda gani
Sio mbaya mkuu lakini Kama unajua unaenda kuitumia wapi maana Ni laptop ya kizamani yenye nguvu.mkuu ni saidie hii kitu kuna jamaa anauza dell 500000
processor intel (R)core (TM)i7-2760QM CPU@2.40GHz,2401mhz,4core(s)&logical processoer
insalled physical memory (RAM)8 GB
total physical memory 7.90GB
HDD GB 900
RAM GB8
MIM SIO MJUZI WA HIVI VITU,JE ni mpe huo mkwanja au ntakuwa nimepigwa?