ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
Sio mbaya mkuu lakini Kama unajua unaenda kuitumia wapi maana Ni laptop ya kizamani yenye nguvu.
Kama Unataka tu laptop ya kawaida achana nayo,
Mkuu hio Ni processor ya zamani ambayo;nipe maujuzi ya vitu vzr inatakiwa viweje?[emoji2969]
Mkuu hio Ni processor ya zamani ambayo;
-inatumia watts 45 hivyo inakula umeme kuliko cpu za kisasa za watts 4 Hadi 15 kwenye laptop, hii pia itapelekea pia kutokaa na chaji.
-gpu yake Ni ndogo usitegemee kucheza games ama kufanya Mambo mengi ya kisasa Kama kuangalia video za 4K.
-ram na HDD Ni vitu vinavyoongezeka kirahisi hivyo visikushawishi saana wakati unachagua laptop, hasa hizi za used maana wanaochukua laptop ya laki 3 wanaongeza HDD na ram kwa laki 1 then wanakuuzia laki 5.
Sema japo hio processor Ni ya zamani Ni zile za quad-core zenye thread 8 inawafaa watu wanaonfanya rendering na video editing, ndio maana nikasema Kama unajua unachopenda kuifanyia still Ni laptop nzuri.
mkuu napenda xn kufahamu mambo ya technolojia,ila mda na umri ndo sio rafiki,bt usituchoke tutaendelea kufahamu mengi kupitia wwe,respectthanks chief
Nje ya mada Mkuu katika hizi Sony ya 32 inch 60D model Smart na Tcl ya android smart ya 32 ipi Iko nzuri kwa TZ maana naona sony wana Linux hapo vipi mkuu unashauri.Umejaribu kubadili line na kuweka ya mtandao mwengine?
Japo kaulizwa chief si mbaya nikijibu pia, kuna program inaitwa Torch browser ni nzuri sana ku download video you tube maana haina expire date kama hizi internet downloaderchief msaada jinsi ya kupakua video/movie youtube kwa pc plse,.
thax mkuu ngoja niicheckJapo kaulizwa chief si mbaya nikijibu pia, kuna program inaitwa Torch browser ni nzuri sana ku download video you tube maana haina expire date kama hizi internet downloader
Ingia google then search Torch browser for pc utapata link ya ku download ni very simple
thax mkuu ngoja niicheck
Yes ndio yenyewe hioc ndo hyo log yake View attachment 1210679