uludodi JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 576 Reaction score 915 Sep 13, 2018 #1 Msaada wenu ni kama wiki 1 imepita nililala na mwanamke sasa kuna mda uso wake ulikaa sana shingoni kwangu toka siku hiyo ile sehemu inaniwasha sana haiponi sasa naomba ushauri wenu bado sijatumia dawa yoyote
Msaada wenu ni kama wiki 1 imepita nililala na mwanamke sasa kuna mda uso wake ulikaa sana shingoni kwangu toka siku hiyo ile sehemu inaniwasha sana haiponi sasa naomba ushauri wenu bado sijatumia dawa yoyote
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Apr 1, 2019 #2 Nenda kwa daktari wa ngozi ni maambikizi ya kawaida ya fangas ,bakteria ,minyoo ngozi etc akikuangalia atajua ni ipi anakupa dawa wiki tu mzima
Nenda kwa daktari wa ngozi ni maambikizi ya kawaida ya fangas ,bakteria ,minyoo ngozi etc akikuangalia atajua ni ipi anakupa dawa wiki tu mzima