lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,748
- 1,388
Hili wimbi la wanaume kukosa nguvu za kiume tatizo ni nini haswa!
Punyeto?
Msongo wa mawazo?
Lifestyle (ulaji)
Lakini kitu gani haswa kinafanya wanawake wengi kutoridhika na mme mmoja hata kama mke ameolewa tatizo ni nini haswa?
Utandawazi?
Kutokutoshelezwa?
Mafunzo kwa wanawake kabla hawajaolewa?
Hebu tuongeee hapa na suluhisho ni nini