Mchagga huyo. Tena hapo kajitahidi maana angeandika NGUFU SA KIUME.Ukikosa nguvu "za"kiume hata kuandika kwa usahihi nako kunakuwa shida!!
Nguvu " sa" kiume,,ndo zipi hizo mkuu??[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nikajua Mmasai labda, kumbe wachagga nao wamo?[emoji23][emoji23]Mchagga huyo. Tena hapo kajitahidi maana angeandika NGUFU SA KIUME.