Rjohn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 613
- 128
Habari waku.
Mwenzenu mda mrefu nywele zangu ziko na rang kama nyekundu hv mda mrefu nimejarbu kutumia hata zle dawa zakufanya ziwe nyeus lakn wap watu wananambia huenda kuna madini nimekosa!, Naomba kujulishwa undan wa swala hili ili nitatue tatizo kwa yeyote anayefahamu.
Ahsanteni