Wana jamiiforums,
Mimi nina tatizo la kuota mba kichwani. Yani nywele zangu nimejitahidi kupaka mafuta tofauti lakini mba hawaishi,nimebadili sabuni za ngozi lakini wapi....Nikafikiri ni tatizo la barbershop labda mashine zao nimebadili lakini wapi...Sasa nimekuwa mtu wa kunyoa para japo sipendi maana nikiacha nywele zinawasha balaa najikuna muda wote....Na mba zenyewe ni kama vipunje kwa mbaaali na nywele zikiwa ndefu ndio nahisi kama vidonda fulani nikijikuna jikuna.
Sasa naomba mnisaidie vitu viwili,
1. Ebu niambieni ili ni tatizo la kawaida au natembea na maradhi?
2. Nitumie mafuta gani au dawa ipi nimalize hii ghasia? Na niende wapi kupata izo dawa au mafuta?