kuna dawa za ku prevent asthma attakcs!
Watanzania tuache kujidaganya na hiyo miti shamba nyingi ni Placebo zisizokua na msaada na wengine wamejificha huko kujipatia pesa!
Na kuna taarifa nyingine nimesikia kuwa kwenye hiyo mitishamba wanatia dawa za kisasa!
Asthma ni sayansi usitegemee itibiwe na dawa zinazotolewa na watu wa kubahatisha!
Pili kuna vitu vinamchochea mgonjwa wako apate attacks za mara kwa mara kama vumbi au hata vitu vye harufu kali kama perfumes n.k.
Vitu kama hivi inabidi aviepuke