Haya ma riport ukiyasoma yanaweza kukufanya ukakosa raha wiki nzima kiasi hata kumgusa mkeo/mumeo ukawa huna hamu as if unaigusa CCM.
Hii nchi imeoza. CCM wanaibaka nchi kwa zamu, sasa hivi CCM zanzibar imeshikilia usukani.
Pole Tanganyika, unateketea na wachache wanaojaribu kukutetea waishia kupigwa risasi hadi kufa, vilema, wakimbizi, magelezani, kufilisiwa, kubakwa kwa zamu na udhalilishaji wa hali ya juu.
Inakatisha tamaa, ila yote ya mwisho. Wahenga walisema kila lenye sura lina kisongo.
Mdogo mdogo wataachia tu