Tatizo la sauti nyembamba kwa mwanaume mwenye umri zaidi ya miaka 21

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,596
Reaction score
2,226
Habari wanaa jukwaa,

Tatizo langu nina sauti ndogo yani kama ya kike nini tatizo au jinsi gani ya wezwa kubadilishwa maana mpaka kero sasa, hasa hasa kwa mabinti kunidongoa kuwa nina elements za kike.

Nawasilisha

Msaada wenu Jf
 
..itumie kwa faida acha kukariri maisha Mungu hakosei...
 
Eti ni kweli kua na sauti ndogo kuna relationship na manpower? eti ukiwa na sauti nyembambaa utakua na matatizo ya nguvu za kijinsia?
 
Ni maumbile tu yakubali na itumie in positive way. Sisi watu maneno tumeumbiwa,we fanya yako wabaki wanaropokwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…