Tatizo la sikio

Mr.Duttu

Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
91
Reaction score
57
Naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu kifaa kinachotumika kupimia *Tympanogram* naweza nikakipata hospitali gan, gharama zake zikoje na je kama wanapokea bima nijue pia maana nilipata ajar sikio langu likachanika ila kwa sasa nimeshapona palipo chanika ila nimebakia na mwangwi pamoja na upepo nao usikia kwa ndani ya sikio especially nikikaa sehemu tulivu napata shida kelele haziishi ndani ya sikio kwayeyote mwenye kujua huduma bora ipatikanapo namuomba anijulishe ndugu zangu
 
Get well soon Mr.Duttu.

Nashauri uende Hospitalini ukawaone waganga kwa msaada zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…