Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Ukweli lazima usemwe Simba ni Timu mbovu tena Mbovu sana.Simba ni timu iliyofanya usajili wa hovyo huku ikijua inashiriki mashindano makubwa na magumu.
Tatizo la SIMBA Viongozi wanaamini uchawi na bahati badala ya kuamini ubora wa wachezaji wao uwanjani na kocha wao.
Ushauri kwa Mwekezaji Mo Dewji,V vunja Uongozi mzima wa Mangungu na Wenzake simba ili Wapatikane viongozi wenye upeo wa Mpira.
Fukuza wajumbe wote wa kamati ya usajilo inayonunua Wachezaji bila kujali ubora wao.
Fukuza baadhi ya wachezaji wengi wamechoka Viwango vyao vimeshuka.
SIMBA iundwe upya, igeni Kamati ya usajili ya mtani wenu inavyojua kusaka wachezaji wenye viwango,
acheni tabia ya kuuza wachezaji muhimu katikati ya mashindano kama Baleke mlivyomuuza.
Pole Mo, umeipambania SIMBA wenzako Wanakusaliti.