Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 354
- 372
Habari za asubuhi ,hope mmeamka salama kwa wale wanaokumbwa na changamoto za hapa na pale Mungu ni mwingi wa Rehema hakika atawaponya.
Moja kwa moja kwenye mada ,ipo hivi kuna ndugu alinunua simu (Samsung A05 plain) mtaani cha ajabu baada ya muda ikawa blocked yaani Imei yake so baada ya hiyo shida akairudisha kwa mwenyewe kwenda kuirekebisha so far ikakubali yaani alienda kui-root
Sasa shida ni kwamba baada ya kuiroot akawa ame upload app (NMB)Baada ya kui-upload ikawa inagoma kufungua badala yake inaandika huwezi kufungua app hii kwa sababu simu iko rooted msaada wakuu mwenye uelewa au uwezo wa kufix hii changamoto au ushauri wowote