Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu yako? Simu ganiHabari wanajf. Simu yangu haitumi sms but naweza kupokea sms. Kila nikituma inasema failed. Sijajua tatizo nataka kuona kama message center number ni tofauti kwani kwangu inasomeka +25575114.
Simu yako? Simu gani
Mtandao gani unatumia?
Je mwanzo ilikua ikituma txt vzur au?
Hapo shida ni line nenda voda shop waelezee tatzo lakoSamsung galaxy J7 mtandao ni Vodacom hii laini toka nimeinunua sijawahi kutuma sms zaidi ya kupokea tu
Samsung galaxy J7 mtandao ni Vodacom hii laini toka nimeinunua sijawahi kutuma sms zaidi ya kupokea tu
Reset hiyo laini kwenye menu yao wana option ya kucheck tatizo na kuireset! Ila njia ya haraka wa check WhatsApp watakutatulia chap tatizo lako.Habari wanajf. Simu yangu haitumi sms but naweza kupokea sms. Kila nikituma inasema failed. Sijajua tatizo nataka kuona kama message center number ni tofauti kwani kwangu inasomeka +25575114.
Shukran sana mkuu!Wacheki WhatsApp 0754100100
Huduma Kwa Mteja Tigo Kupitia WhatsApp 0714100100Shukran sana mkuu!
Kwa zaidi ya mwaka mmoja line yangu ya Voda ilikuwa haitumi sms. Lakini leo nilipopata dharura iliyonihitaji nitume sms kwa line ya Voda, nililazimika kutafuta namna. Kama leo ningekuwa maeneo ya mijini, ningeenda ofisi za Vodacom.
Katika kutafuta msaada, niliingia humu jamvini kutafuta nyuzi zenye majibu ya hitaji langu.
Nilijaribu njia kadhaa zilizopendekezwa na wadau lakini sikusaidika. Lakini baada ya kuwasiliana na Voda kwa WhatsApp kwa namba uliyoiweka, tatizo la line yangu lilipata ufumbuzi. Leo nimeweza kutuma sms ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tokea hiyo changamoto iikumbe line yangu ya Vodacom.
Nawashukuru wote waliotoa ushauri kwenye huu uzi na zingine zinazofanana na huu.
Lakini kipekee, nakushukuru wewe kwa kuweka namba ya WhatsApp ya Voda. Imekuwa ya msaada mkubwa sana kwangu. Ajabu ni kuwa sikuwa nafahamu kuwa kuna huduma ya kuwasiliana na Vodacom kwa WhatsApp.
Japo comment yako ni ya mwaka 2021, imeweza kunisaidia leo Julai 2024.
Ninashukuru sana🙏
🙏🙏🙏Huduma Kwa Mteja Tigo Kupitia WhatsApp 0714100100
Walikupa code za kupiga ili ifunguke?Shukran sana mkuu!
Kwa zaidi ya mwaka mmoja line yangu ya Voda ilikuwa haitumi sms. Lakini leo nilipopata dharura iliyonihitaji nitume sms kwa line ya Voda, nililazimika kutafuta namna. Kama leo ningekuwa maeneo ya mijini, ningeenda ofisi za Vodacom.
Katika kutafuta msaada, niliingia humu jamvini kutafuta nyuzi zenye majibu ya hitaji langu.
Nilijaribu njia kadhaa zilizopendekezwa na wadau lakini sikusaidika. Lakini baada ya kuwasiliana na Voda kwa WhatsApp kwa namba uliyoiweka, tatizo la line yangu lilipata ufumbuzi. Leo nimeweza kutuma sms ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tokea hiyo changamoto iikumbe line yangu ya Vodacom.
Nawashukuru wote waliotoa ushauri kwenye huu uzi na zingine zinazofanana na huu.
Lakini kipekee, nakushukuru wewe kwa kuweka namba ya WhatsApp ya Voda. Imekuwa ya msaada mkubwa sana kwangu. Ajabu ni kuwa sikuwa nafahamu kuwa kuna huduma ya kuwasiliana na Vodacom kwa WhatsApp.
Japo comment yako ni ya mwaka 2021, imeweza kunisaidia leo Julai 2024.
Ninashukuru sana🙏
NdiyoWalikupa code za kupiga ili ifunguke?
Kama ulipewa code weka mkuu wengine wafaidike