JULIUS MKANYIA
Member
- May 8, 2012
- 29
- 4
Simu yangu ni nokia 6151, na tatizo lake kubwa ni kwamba "switch" yake ya kuwashia imeharibika. Sasa ni kwa jinsi gani naweza kulitatua tatizo hili? Je, ninunue "housing" nyingine mpya ili kuipata "switch" yake ya kuwashia au "switch" yake yaweza kupatikana bila kununua "housing" nyingine mpya? Naomba mnisaidie wana jf.