JULIUS MKANYIA
Member
- May 8, 2012
- 29
- 4
Wataalamu/mafundi wanasemaje? JULIUS MKANYIA Pitia jukwaa la Technology kunaweza kupatikana ufumbuzi kuleSimu yangu ni nokia 6151, na tatizo lake kubwa ni kwamba "switch" yake ya kuwashia imeharibika. Sasa ni kwa jinsi gani naweza kulitatua tatizo hili? Je, ninunue "housing" nyingine mpya ili kuipata "switch" yake ya kuwashia au "switch" yake yaweza kupatikana bila kununua "housing" nyingine mpya? Naomba mnisaidie wana jf.
Simu yangu ni nokia 6151, na tatizo lake kubwa ni kwamba "switch" yake ya kuwashia imeharibika. Sasa ni kwa jinsi gani naweza kulitatua tatizo hili? Je, ninunue "housing" nyingine mpya ili kuipata "switch" yake ya kuwashia au "switch" yake yaweza kupatikana bila kununua "housing" nyingine mpya? Naomba mnisaidie wana jf.
Itupe tu mkubwa..............Simu yangu ni nokia 6151, na tatizo lake kubwa ni kwamba "switch" yake ya kuwashia imeharibika. Sasa ni kwa jinsi gani naweza kulitatua tatizo hili? Je, ninunue "housing" nyingine mpya ili kuipata "switch" yake ya kuwashia au "switch" yake yaweza kupatikana bila kununua "housing" nyingine mpya? Naomba mnisaidie wana jf.