Si vilabu wala timu ya taifa,kila viongozi wanaokuja hamna mabadiliko,tunatamani tufike mbali kimataifa ila tunaishia hatua za awali.
Viongozi wana visingizo kila siku bila bla bla.
to hell!
Tatizo ni nini wakuu?
Viongozi wa TFF?
Makocha?
Wachezaji hawana ujuzi na afya mbovu?
Hela?
Kwanini sisi tu ndo mteremko wa timu zingine kimataifa?
Wakuu naomba tujadili tatizo hasa liko wapi?