Tatizo la taa ya pembetatu kwanye toyota raum

Tatizo la taa ya pembetatu kwanye toyota raum

Lung'wecha

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
927
Reaction score
574
Wakuu asalaam aleykum!

Kuna hizi gari toyota raum kuwa na tatizo la kuwaka "alama ya pembetatu na mshangao ndani yake (red triangle sign)" kwenye dashbord.Mwanzoni nilidhani ni hii tu yangu ila nimefatilia kwa watu wengi wenye raum nakuta tatizo hilohilo na wanaendelea na mishe zao, wengine wakisema haina shida kwa maana ya kuwa milango yake ndo husababisha hiyo hali, mara umeme!

Mwenye uelewa kwanini raum zinakuwa hivyo anisaidie.

Shukrani!
 
Back
Top Bottom