Tatizo la Toyota corolla spacious 2002(new model) cc 1490 kula Mafuta km7/lita

Tatizo la Toyota corolla spacious 2002(new model) cc 1490 kula Mafuta km7/lita

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Niko bariadi na mafundi wa huku si wazuri sana naomba kujua tatizo ni nini haswa
kupitia kwenye mitandao nilikuja kugundua kuwa oxygen sensor iliyopo kwenye exsoz ilikuwa disconnected na nahisi imekufa nataka kujua bei yake ikiwa mpya na bei ya nozzles pia na ushauri wa nini cha kufanya
Nataka nikaishugulikie Mwanza soon
 
Nakushauri uende tu Mwanza kwa mafundi wazuri, waifanyie DIAGNOSIS utapata ufumbuzi mzuri wa gari lako. Pia hongera kwa kubadili ng'ombe kuwa gari huko bariadi...
 
Back
Top Bottom