Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Nenda hospital kubwa zenye wataalamuWadau nimekua nasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sasa kiasi cha kukata tamaa ya kupona.
Iko hivi,sijawahi kuwa na tumbo comfortable,yaani muda wote najihisi haja kubwa na kwa muda kidogo sasa kila nikienda haja napata laini saaana.
Pia ninaweza kuharisha sana halafu nikila chakula nachukua muda kupata choo.
Halafu kila asubuhi ninaposwaki najisikia kichefuchefu na kutapika lakini sababu tumbo na empty basi huwa unatoka ute aa njano sometimes nyeupe.
Naombeni kujua tatizo ni nini,nitumie dawa gani maana kila nikienda hospital nabiwa sina tatizo lolote.
Nisaidieni.
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana ndugu, jitahidi kwenda hata hospitali nyingine yenye wataalam zaidiWadau nimekua nasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sasa kiasi cha kukata tamaa ya kupona.